Youth Poetry Contest:Winning Pieces. NO1-UNHOLY SPIRITS

FlyerMaker_09032019_092733.png

Maina Mwangi
Mwas_poet
EMBU 014
K.U
UNHOLY SPIRITS
Hii ni whine ya word ju najua spirits zenu zimezoea 8pm na masaa ya mbilimbili ,hii piece ni moja so 7pm ningependa mnitune in kama nipashe coz am your fellow citizen,ni ju nmecome up na siri ya kucurb drugs na si rehab,simply niaty nliamua kukeep my blades blunt nsiwahi kata maji,nkaamua kucheza chini nsiwahi kuwa high sababu nilijua si lazima nismoke weed ndo nkuwe high,because ata kwa masomo, with toils and tears,toa drugs tia bidii,ukuwe judge kwa high court na hatutajudge ukiitwa your higness afterall hatuna your cover,As for me,story za madre nlisare and that’s why nlivaa sare daily shule nkatii,nowonder nowadays siezi mind ata ukinibypass,mi hutumia highways na afterall my destination ni guaranteed ata bila hizo maguarana,you know hizi highways ndo zimenifunza drug abuse na trafficking ni kama traffick light once imewasha green,haiwezi wait ni until iwashe red health yako ikiwa emaciated life yako ikuwe terminated because cancer kills,so walevi,
Sijui kama ni captain Morgan ama ni William walimake laws na his sons ambao hukufanya uparty na your four cousins every seven-knights making you week,but for a limelight now,we jua, even the sun is so high ata kwa solar system hauwezi kuwa legend ju ya kukata maji,cause even the swamps are full of rices,hizi rice zimeishi kwa maji hazijaai lewa najaribu kusema drugs abuse ni out of self-control cause even the earth is filled with lices, but the world is full of vices na lies,mbna wakudanganye utakuwa made of more,after taking guiness si wakueke kwa world book of record,nashangaa mbna ukaanza drugs ama joblessness ndo ilifanya ukamind drug’s business? Now Mind your own future,cause hii life si fair,hii life ni safari,its not a supermatch that you need to be a sportsman na singetaka useme ni marafiki mara hii ju pia peer pressure you were in search of pleasure, But ningetaka uDigest hii information before uchew cud ya miraa ju life ni mtihani si khat,na addiction hukuwa shots zilianza kama fun-game ya tots na curiosity,na mission yake ni ku blur your vision ndo future yako ikuwe unfeatured And that’s why kwa hii conclusion nadrag everyone outta drugs confusion because you have to change first before everything you love in life comes last,ju addiction ni fiction huleta friction na conflict because hii addiction ndo huturn addicts wild na kuleta domestic violence,hii addiction ndo hurarua title za wife ju ni material,hii ndo imetear families apart na kuwatear machozi,and will still pour you more that you’ll have no power to ignore,so wakikudrag ukadrug ukuwe high,take your heels ama ukaribie mt zion kwa Jesus youll still be high Finally kama ni kulewa naadvocate maji ya river ju haiezi haribu your liver, cause cirrhosis kills,you know as for me,,nilijua lung cancer huua nkajiita subira ndo nivute heri,kama ni kulewa nkaamua nilewe naHolyspirit ya Jesus ndo nimuelewe,kama nikulewa nkaamua kulewa na word ndo leo mnielewe na kama nikuget high labda kwa hii stage when you snap for me kama hamtanipiga picha…… @mwas_poet

Image may contain: 1 person

Published by Stephen Ogweno

a global health practitioner, NCD advocate and mHealth Innovator

One thought on “Youth Poetry Contest:Winning Pieces. NO1-UNHOLY SPIRITS

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: