AWARD WINNING PIECES – 2ND RUNNERS UP BEST PIECE OVERALL BY STEPHEN MBURU

Name:Stephen mburu gathima
Stage Name:stevegathi the poet
City:Nairobi Kenya
Occupation: form four leaver
Email:Gathimasteve@gmail.com

(Download NCDs 365 App by clicking on the link below https://play.google.com/store/apps/details?id=com.stowelink.mcure )

Dunia si yetu Tena, mgeni metutawala
Kazaa uvumi China, Africa kihalahala
Shauku giza mchana, Ugonjwa si galagala
Maabara rudi Tena, kwenu sikuwe jalala

Kajitambua “Corona”, shetani wapili kaja
Kwa ya juu meno ona, ovyo zatutoka haja
Wazazi kibaki Jina, wimbi hili kiwavuja
wavyaa tena Sina, hata ya mwisho pabaja

Mikono sabuni Nawa, kiyeyuzi kitumia
Barakoa Kivaliwa, kaburi hutaingia
Utiifu Kawa dawa, sheria kizingatia
Kifuata yote Sawa, janga hili tazuia

Rabii nasema dua, kwa Mola konyenyekea
Kishukuru kupumua, baraka kipokelea
Janga nisije ungua, kila nikijiombea

Published by Stephen Ogweno

a global health practitioner, NCD advocate and mHealth Innovator

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: